Tumejikita katika huduma zifutazo
- Uzalishaji na usambazaji wa vifaranga wa kuku chotara aina ya Sasso na Kloila
- Usambazaji wa chakula cha vifaranga na kuku wakubwa
- Utengenezaji wa mashine za kuzalisha vifaranga (incubators)
- Ushauri kuhusu ufugaji wa kuku na utengenezaji wa mabanda ya kuku
Ungana nasi katika ufugaji wenye tija
