Fahari Kuku Farm ni wazalishaji na wasambazaji wa vifaranga wa kuku chotara aina ya kloila. hii ni aina ya kuku chotara wenye maumbo makubwa na wavumilivu dhidi ya magonjwa ya kuku, hukua kwa haraka na wanafaa kwa matumizi ya nyama na utagaji wa mayai

Tupo Kahama Mkoani Shinyanga, tunasafirisha kwenda mikoa yote kanda ya ziwa kupitia basi za abiria

CHAKULA CHA KUKU NA VIFARANGA