CHAKULA CHA KUKU

Tunazalisha na kusambaza chakula bora cha kuku kinachokuza vifaranga kwa haraka sana. Chakula kipo katika mfumo wa punje (pellets) na tunazo aina zote kwa ajili ya vifaranga, kuku wanaokua, kuku wakubwa na kuku wanaotaga. Tunafungasha katika mifuko ya kilo 25 na kilo 50, bei zetu ni ni sh 30,000 kwa kilo 25 na Sh 55,000 kwa kilo 50